Kuwajali Wanao Watunza: Care for Caregivers (Swahili Translation) (en Swahili)

Harris, Dr Roy W. ; Mbukhitsa, Anthony Lusichi · Rhmpublications

Ver Precio
Envío a todo Chile

Reseña del libro

Ambayo mkee wake ameyapitia. Nikawaza, kuna wengine wengi wanao jail ambao wanaitaji kusikia habari hii. Niluifurahia sana nilipo pata habari na pia kitabu ca kwanza cha kujali wanao kutunza. Lilipo ansa tu kukisoma kitabu hicho, nisingeliweza kukiweka chini kitabu hici ni lazima kwa kila anaye watunza wengine, mchungaji, mwenyekiti, mhelekezi, mhudumu wqa Afya, na yeyote Yule anaye hitaji ufahamu zaidi kuhusu jinsi ya kusaidia na kuwatia moyo wanaowatunza. Asande sana ROY Watu wengi watasaidika na kutiwa moyo nna kitabu hichi. - Dr. Stan Toler alitumika kama muhudumu wa jumla kama suparitendant kanisa la NAZAREENI NA KAMA MCUNGAJI WA KULE Ohio, Florida, Tennessee, na pia oklaoma. Dr Tolaer ameviandika vitabu zaidi ya miamoja vikiuzwa zaidi ya miolioni 3 Ulimwenguni.

Opiniones del Libro

Opiniones sobre Buscalibre

Ver más opiniones de clientes