Hasta 70% Descuento en las Promociones de Verano. VER PROMOCIONES

  portada Jipende: Siri ya Urembo (libro en suajili)
  Formato
  Libro físico
  Año
  2015
  Idioma
  Suajili
  N° páginas
  112
  Encuadernación
  Tapa blanda
  Isbn13
  9781522754534
  N° edición
  1

  Jipende: Siri ya Urembo (libro en suajili)

  Pauline Mandari · Createspace Independent Publishing Platform

  Libro Nuevo

  $ 16.780

  $ 23.300

  Ahorras: $ 6.520

  28% descuento
  • Estado: Nuevo
  Origen: Estados Unidos (Costos de importación incluídos en el precio)
  Recíbelo entre el Lunes 09 de Marzo y el Martes 24 de Marzo.

  Reseña del libro

  Kila mtu ni mzuri lakini kuonekana mrembo ni kitu ambacho kila mmoja anajitahidi kuhangaika sana na kutumia vitu mbalimbali kila siku ili kufikia malengo yake ya urembo anaoutaka. Jipende ni kitabu kitakacho kusaidia kujua siri za urembo. Katika kitabu hiki kuna njia mbali mbali za kukusaidia kufikisha malengo yako unayoyatarajia kwa urahisi, kuboresha urembo wako na kuhaikisha urembo wako haupotei hata pale unapoendelea kukua kiumri. Kitabu hiki nimekiandika kwa miaka kadhaa baada ya kugundua madhara mengi yanayotokana na bidhaa za urembo zinazouzwa madukani. Baada ya kunaza kutumia baadhi ya bidhaa za urembo zinazotengenezwa nyumbani niliona matokeo makubwa sana ndio nikaendelea kupunguza kununua kila siku bidhaa za urembo zinazouzwa madukani. Kitabu hiki nimekiandika nikiwa nawafikiria wanawake wale wote walio na muda mchache sana wa kusoma vitabu. Hivyo nimekiandika kwa kutumia maelekezo mafupi na rahisi sana kueleweka. Hiki ni kitabu ambacho kila mwanamke anahitajika kuwa nacho na kukitumia kila mara. Ukiwa na kitabu hiki kitakua kama kamusi yako ya urembo. Kitakusaidia sana katika kukusaidia kufikisha malengo yako ya urembo unaouhitaji kila siku huku kikikusaidia kukupunguzia madhara yanayotokana na bidhaa za urembo zinazouzwa madukani.

  Opiniones del libro

  ¿Leíste este libro? Inicia sesión para poder agregar tu propia evaluación.

  Ver más opiniones de clientes
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)
  • 0% (0)

  Opiniones sobre Buscalibre

  Ver más opiniones de clientes