¡Happy Weekend, Happy Books con Planeta! 📚 Llévate tus favoritos con hasta 70% dto  Ver más

Enviar a
Santiago, Región Metropolitana
0
  • argentina
  • chile
  • colombia
  • españa
  • méxico
  • perú
  • estados unidos
  • internacional

Selecciona tu país

América

Europa

Resto del mundo

portada Hazina YA Ushairi (en Swahili)
Formato
Libro Físico
Idioma
Swahili
N° páginas
242
Encuadernación
Tapa Blanda
Dimensiones
25.4x20.3x1.3 cm
Peso
0.49 kg.
ISBN13
9789966181886

Hazina YA Ushairi (en Swahili)

Vitalis Oyoo Onyango (Autor) · Ariba Book Publishers · Tapa Blanda

Hazina YA Ushairi (en Swahili) - Onyango, Vitalis Oyoo ; Otieno, Elisha

Libro Nuevo Importado
Envío: 16 a 21 días háb.
$ 46.250$ 25.440
-45%
Costos de importación incluídos en el precio ✅
Libro Nuevo

Quedan 100 unidades

$ 25.440
Llega entre el 07 Oct y el 15 Oct a Santiago, Región Metropolitana. Seleccionar ubicación

Reseña del libro "Hazina YA Ushairi (en Swahili)"

Hazina ya Ushairi ni kazi ambayo inadhamiria kuondoa ugumu wa uchambuzi wa mashairi na kuufanya uwe somo linalowezekana kusomwa, kufurahiwa na kuchambuliwa na mwanafunzi pasipo kumhitaji sana mwalimu wake. Ukiwadadisi wanafunzi maoni yao kuhusu somo la ushairi utagundua kuwa asilimia kubwa sana wasingalipenda litahiniwe.Kisa na maana ni kwamba linachukuliwa kuwa somo la kuogofya na walimu wengi, falaula mwanafunzi aliyezongwa na masomo mengine mengi 'magumu'! Wengi hawaoni sababu ya kusumbuliwa na mashairi hasa ikikumbukwa kwamba ujuzi wake hauhitajiki mtu anaposaka gange. Mwelekeo huu hasi ni tisho kubwa linaloelekea kuangamiza fahari na umuhimu wa ushairi miongoni mwa vizazi vichanga. Wataalamu wa awali walitunga diwani na wenzao kuzichambua.Wengi wa hao waliozichambua walisahau kutoa ushairi mikononi mwa Mswahili. Waliishia kuutwaa vile ulivyokuwa katika enzi za Muyaka bin Haji na kumkabidhi mwanafunzi asiyehusiana naye kwa lolote wala chochote kisha wakamtaka aipende na kuionea fahari fasihi ya Kiswahili kama alivyopenda Mwalimu Simtaji na wengineo. Matokeo yake ni kwamba taabu za mwanafunzi hazikufikiriwa katika diwani zile wala katika tahakiki zao. Aidha, istilahi za ushairi, hasa zenye asili ya Kiarabu, zilimkaba koo, msamiati wa kishairi [lugha za kilahaja] ulimzonga pumzi, na arudhi kadha zikamtisha na kumtamausha akawa mnyonge kweli. Kwa sababu hiyo, hata kazi sahili na wa kupendeza zisizohitaji tafakuri, kama vile mashairi ya Kwa wanafunzi wa shule za upili vii watunzi wa kileo kama Alamin Mazrui, Said Ahmed Mohamed, Fikeni Sonkoro, David Massamba, Mugyabuso Mulokozi, Kithaka wa Mberia na wengine wengi, hazipati umaarufu unaostahiki miongoni mwa vijana. Diwani zilizosomwa na walimu na wanagenzi wao zilikuwa zizo hizo zinazowanyima raha wanafunzi darasani. Matokeo ni kuwa vyuo vilizaa walimu wengi wasioyapenda mashairi na vitabu visivyoeleweka viliwanyima starehe. Nao waliingia navyo madarasani; kufunza ati! Walipomaliza kufunza wanafunzi walitamani sana somo hilo liondolewe kabisa kwenye silibasi. Hivyo basi mimi situngi diwani, nahifadhi hazina ya ushairi; kumbukumbu ya kurejelewa na mwalimu na mwanafunzi darasani.

Opiniones del libro

Preguntas frecuentes sobre el libro

Todos los libros de nuestro catálogo son Originales.
El libro está escrito en Swahili .
La encuadernación de esta edición es Tapa Blanda.

Preguntas y respuestas sobre el libro

¿Tienes una pregunta sobre el libro? Inicia sesión para poder agregar tu propia pregunta.

Opiniones sobre Buscalibre

Ver más opiniones de clientes