Compartir
Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi: Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition (en Swahili)
Paul Truong
(Autor)
·
Elise Pinners
(Autor)
·
Createspace Independent Publishing Platform
· Tapa Blanda
Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi: Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition (en Swahili) - Truong, Paul ; Tan Van, Tran ; Pinners, Elise
$ 35.110
$ 48.770
Ahorras: $ 13.660
Elige la lista en la que quieres agregar tu producto o crea una nueva lista
✓ Producto agregado correctamente a la lista de deseos.
Ir a Mis Listas
Origen: Estados Unidos
(Costos de importación incluídos en el precio)
Se enviará desde nuestra bodega entre el
Miércoles 31 de Julio y el
Lunes 12 de Agosto.
Lo recibirás en cualquier lugar de Chile entre 1 y 3 días hábiles luego del envío.
Reseña del libro "Matumizi Ya Mifumo Ya Vetiver Masuluhisho - Mwongozo Wa Kiufundi: Vetiver System Applications - Technical Reference Manual - Swahili Edition (en Swahili)"
Mfumo wa Vetiver unautegemea mmea wa kipekee wa kitropiki, unaoitwa nyasi Vetiver. Mmea huo umefanyiwa uchunguzi wa makini sana, kuthibitishwa na kutumiwa katika nchi 100 kwa kuhifadhi maji na udongo, uimarishaji ardhi, kudhibiti uchafuzi, kuboresha maji, kupunguza ukali wa maafa, na matumizi mengi mengineyo ya kimazingira yanayoweza kupunguza athari za kuongezeka kwa joto duniani na mabadiliko ya hali ya anga kwa siku zijazo. Kitabu hiki kina picha nyingi sana ili kutoa maelezo zaidi, kimeandikwa kwa usaidizi wa Mtandao wa Vetiver wenye habari nyingi katika http: // www.Vetiver.org na Mtandao huo unapaswa kuwa ndio marejeleo kwa wahusika kama vile waundaji sera, wanamipangilio mbalimbali, wahandisi, mafundi, wakulima wakubwa kwa wadogo na mtu yeyote yule anayetaka kutumia maarifa haya yaliyothibitishwa ya masuluhisho "kijani kibichi" kwa matatizo yanayoukabili ulimwengu katika karne hii ya ishirini na moja.